BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Monday, March 29, 2010

HAPPY BIRTHDAY DI' DADA!!


Japo hujasema ni kalenda ya ngapi umechana leo lakini kwangu sio ishu,mi nakutakia tu uchane kalenda mia zaidi na kila ndoto unayoota iwe kweli,happy birthday bi' dada!!!!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera Agness!

AGNESS ANDERSON said...

ha ha ha...ahsante jamani kija, ndoto nyingine za kutisha bwana...sasa zikiwa kweli ntaishi kweli nduguyo? hahaa haa. ubarikiwe saaana kaka...pa1