BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Friday, March 26, 2010

KIDBWOY...One among my ROLE MODELS

KidBwoy


Naweza kusema mi ni mmoja kati ya wachache walioshuhudia step by step ya mafanikio kibao ya huyu mchizi hapo juu,since way back 1999 wkt mi najoin 4m five pale Lake High School-Mwanza jamaa alikuwa anamalizia 4m four,2kafahamiana japo hatukuwa karibu kivile but mpaka leo sijajuta kumfahamu mchizi huyu kwakweli,coz amekuwa ni kama mtu aliye mbele yangu akiniongoza kwa kila jambo japo yeye hana habari na jambo hili,kuanzia carrier ya utangazaji since ameingia R.F.A mpaka michakato mingine kibao ya kielimu na kijasiriamali,ana hold masterz now if am not mistaken na TETEMESHA RECORDS sasa imekuwa kampuni rasmi,hizi si hatua za kubeza hata kidogo,Bigup kaka,nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu sana production carrier yake tangu anaanza mpaka sasa,na nafurahi kuwa mmoja wa watu wa kwanza-kwanza kabisa kuzicheza na kuzitangaza kazi za TETEMESHA za awali kabisa,am proud of you mkubwa,safari bado ndefu na najua utafika japo kadri unavyokuwa mkubwa ndivyo na ndoto zinavyokuwa kubwa pia.HONGERA SANA.

0 comments: