Ni habari mpya nilizozipokea muda si mrefu kupitia mtandao mmoja nnaouamini sana,ishu ni hivi Beyonce Knowles a.k.a Mrs Sean Cuter ni "mja-mzito",ni baada ya watu kuvumisha sana siku za nyuma juu ya ishu hii but now ni kweli imetokea na mtu mzima Jay Z ame'comment kwa kusema kwamba ni kweli,amefurahi na anasubiri kwa hamu sana kuitwa baba toka kwa mkewe mpendwa "Diva" lakini hii haitakuwa mara ya kwanza kwa mkali huyo wa "Young 4eva" kuitwa mshua coz tayari alishafanya mambo kama haya kwa mademu wengine longtime,so tuiskilizie hii au vp???????
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI
KAMISHENI YA BONDE LA MTO ZAMBEZI
-
TANZANIA imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa ZAMCOM katika mwaka
2024-2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Kamisheni
ya Bonde la M...
0 comments:
Post a Comment