MADUDU RIPOTI YA CAG, "NCHI TUNAIUA SISI WENYEWE"
-
*Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema
rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na
ku...
Monday, March 29, 2010
RJ COMPANY
Hawa ndio Rj company,kiukweli jamaa wako serious kweli bwana na ndoto yao ya kuipeleka movie industry katika level za kimataifa naamini itatimia soon,hebu fanya hivi, tafuta movie yao yoyote and then itazame halafu utaniambia mwenyewe,inshort mi nawakubali sana tu,na sasa naisubiri kwa hamu "My Dreams".Pigeni kazi vijana,nawaamini.
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:59 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment