WAZIRI JERRY SILAA KUONGOZA KLINIKI YA ARDHI TANGA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Mendeleo ya Makazi Jerry Silaa anatarajiwa
kuongoza Kliniki ya Ardhi kwa mkoa wa Tanga itakayofanyika ...
Monday, March 29, 2010
RJ COMPANY
Hawa ndio Rj company,kiukweli jamaa wako serious kweli bwana na ndoto yao ya kuipeleka movie industry katika level za kimataifa naamini itatimia soon,hebu fanya hivi, tafuta movie yao yoyote and then itazame halafu utaniambia mwenyewe,inshort mi nawakubali sana tu,na sasa naisubiri kwa hamu "My Dreams".Pigeni kazi vijana,nawaamini.
Posted by RENATUS KILUVIA at 5:59 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment