MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA ,TANROAD TANGA YAJIVUNIA UTEKELEZAJI WA MIRADI
YA MAENDELEO
-
Menejaa wa Wakala wa Barabara nchini (Tanroad) Mkoa wa Tanga Mhandisi
Dastan Singano akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani.
*Na Oscar...
Tuesday, March 30, 2010
S'KIKA NEW SEASON IS BACK(NOW ON EAST AFRICA)
Ile show ya ukweli,nnayoiamini "S'kika" a.k.a "be heard" imerudi tena katika season mpya kupitia palepale CHANNEL O "viewer's edition",na sasa ni home sweet home East Africa,show inaanza kwa kucheki maisha ya wanamuziki mastaa wa Kenya,utaanza kuwacheki KALAMASHAKA halafu JUACALI baada ya hapo ni AMANI,CANIBAL na wengine kibao,mzigo ukimalizwa pande hizo show itatimba Uganda and then Bongo,so ukipata time cheki channel O uoneeeee!!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:44 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment