TOGABE MILLS, KISHINDO CHA MAMA WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
RUFIJI
-
WANACHAMA wa Kishindo cha Mama kwa kushirikiana na TOGABE Mills watoa
Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.
Wametoa misaada m...
Tuesday, March 30, 2010
S'KIKA NEW SEASON IS BACK(NOW ON EAST AFRICA)
Ile show ya ukweli,nnayoiamini "S'kika" a.k.a "be heard" imerudi tena katika season mpya kupitia palepale CHANNEL O "viewer's edition",na sasa ni home sweet home East Africa,show inaanza kwa kucheki maisha ya wanamuziki mastaa wa Kenya,utaanza kuwacheki KALAMASHAKA halafu JUACALI baada ya hapo ni AMANI,CANIBAL na wengine kibao,mzigo ukimalizwa pande hizo show itatimba Uganda and then Bongo,so ukipata time cheki channel O uoneeeee!!!!!
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:44 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment