Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.
MUHIMBILI YAZINDUA MASHINE YA KISASA YA KUCHUNGUZA SARATANI YA MATITI
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imezindua mashine mpya ya kisasa
(Senographe Pristine 3D Mammography suite) Yenye ...
0 comments:
Post a Comment