Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.
MVUTANO VYAMA VYA WAFANYAKAZI KIKWAZO VIKAO BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA
ARDHI
-
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy
Kabyemera akiongea na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara yake leo
Manis...
0 comments:
Post a Comment