Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.
WAZIRI NDUMARO AITAKA TIMU YA FGA KUPAMBANA KUBAKI KWENYE LIGI
-
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameitaka
Timu ya mpira wa miguu ya FGA ya mkoani Ruvuma ambayo inashiriki Ligi
Daraja la ...
0 comments:
Post a Comment