Hii ndio album cover ambayo imechukuwa jackpot kwenye covers kibao za albam za mtoni nlokwishawahi kuziona,before sjaiona hii album cover ilokuwa jackpot ni albam ya mtu mzima SCARFACE ya mwaka 1995 kama unakumbuka vizuri,albam iliitwa "The Diary",so kwa maana hiyo basi hii imeizidi ile,hii ni albam ya "dogo" Wayne(mi namwita dogo n don' ask me why) inaitwa "The Cater III.Kazi imeanza sasa.
Puma Tanzania yafuturisha wadau mbalimbali Jijini Dar es Salaam
-
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika
Iftar iliyoandaliwa na Kampuni hiyo huku ikitumia nafasi hiyo kuwaomba
Watanzania...
0 comments:
Post a Comment