BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Tuesday, April 20, 2010

BREAKING NEWS,GURU AFARIKI DUNIA.

Hizi ni habari ambazo zimenishitua sana kwakweli na kuniharibia siku yangu nzima,rapper wa kundi la Gangstarr GURU(43yrz) niliyemripoti kuendelea vizuri siku si nyingi nyuma hatimaye hatunaye tena,rapper huyu anayeheshimika sana amefariki dunia jana tar 19 asubuhi baada ya kuugua sana saratani na amekuwa akirudirudi kwenye koma mara kwa mara,akizungumza na vyombo vya habari jana jioni producer Solar amesema mchizi ameugua sana kwa takribani mwaka mzima na madaktari bingwa wamejitahidi sana kuokoa maisha yake lakini inaoneka kama MUNGU kampenda zaidi yetu,tutamkumbuka sana mchizi kwa ngoma kali,flows za ukweli na rylics za maana,"GURU umeondoka wewe lakini umetuachia ngoma zako kibao ambazo tutazitumia kukukumbuka".R.I.P.
GURU

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Marehemu apumzike kwa amani na pole wafiwa wote!!!Amina.

Anold G. Nyambelwa said...

daah mzazi me pia nimesikitika sana. Mungu amempenda zaidi. R.I.P Kama unataka kucheki letter aliotuachia mafans visit www.arniegizzle.blogspot.com