HASHEEM THABEET MANKA
Mdau na fans wangu,jana katika pitapita zangu kwenye foleni zetu za mataa ya jiji hili ni kama sikuamini vile,pembeni yangu ikapaki gari moja ya maana sana,achana na hizi Range Rover Sport zilizojaa hivi sasa hapa town za milioni 45 mpaka 50,ilipaki Range Rover Vogue halisi ya "ukweli" ambayo bei yake kwa harakaharaka ni kama 250 mil za kibongo na ndani yake alikuwamo mchezaji anayechezea timu ya mpira wa kikapu ya Merphis Grizzlies inayoshiriki ligi nambari moja ya kikapu duniani ya NBA Hasheem Thabeet Manka,sasa ndo nikagundua kumbe mshikaji yuko town.Karibu home bwana,mvua mvua ndo hii na kijotojoto kimepungua kidogo tuna-enjoy kiaina.
RANGE ROVER VOGUE
LEO BARABARA ZOTE ZA JIJI LA DAR ES SA;AAM KUELEKEA MWENGE - TANGAZO
ANOINTED MINISTRY 2024
-
𝗘𝘄𝗲 𝗺𝘁𝘂 𝘄𝗮 𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗵𝗶𝗶 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗻𝗶 𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼
𝗹𝗲𝗼 𝗹𝗲𝗼 𝘁𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲 𝟮𝟬𝘁𝗵 𝗔𝗽𝗿𝗶𝗹 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗗𝗮𝗿 𝗲𝘀
𝗦𝗮𝗹𝗮...
0 comments:
Post a Comment