Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba mchizi kutoka Kampala anakwenda kwa jina la Daniel Kigozi aka NAVIO amekula shavu kufanya ngoma na producer na rapper kutoka nchini Marekani Timberland.Navio ambae yuko kwenye lebo ya Talent 256 anasema sasa ndoto zake zinatimia coz amehustle kwa muda mrefu sana kufanya kazi na star yeyote toka mbele,nadhani hii ndo nafasi ya jamaa kutoka kimataifa,hebu tumsikilizie au vp....
WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY DIMBA LA MKAPA KESHO
-
WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya
Kariakoo kati Simba na Yanga itakayofanyika kesho kwenye uwanja wa Mkap...
0 comments:
Post a Comment