Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba mchizi kutoka Kampala anakwenda kwa jina la Daniel Kigozi aka NAVIO amekula shavu kufanya ngoma na producer na rapper kutoka nchini Marekani Timberland.Navio ambae yuko kwenye lebo ya Talent 256 anasema sasa ndoto zake zinatimia coz amehustle kwa muda mrefu sana kufanya kazi na star yeyote toka mbele,nadhani hii ndo nafasi ya jamaa kutoka kimataifa,hebu tumsikilizie au vp....
TOGABE MILLS, KISHINDO CHA MAMA WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
RUFIJI
-
WANACHAMA wa Kishindo cha Mama kwa kushirikiana na TOGABE Mills watoa
Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.
Wametoa misaada m...
0 comments:
Post a Comment