Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba mchizi kutoka Kampala anakwenda kwa jina la Daniel Kigozi aka NAVIO amekula shavu kufanya ngoma na producer na rapper kutoka nchini Marekani Timberland.Navio ambae yuko kwenye lebo ya Talent 256 anasema sasa ndoto zake zinatimia coz amehustle kwa muda mrefu sana kufanya kazi na star yeyote toka mbele,nadhani hii ndo nafasi ya jamaa kutoka kimataifa,hebu tumsikilizie au vp....
MIAKA MIWILI YA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR, MABALOZI WAMPONGEZA RAIS
SAMIA KWA ONGEZEKO LA WATALII
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Kreta.
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na
Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muu...
0 comments:
Post a Comment