KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
WAKUU WA SHULE, MADEREVA ZINGATIENI USALAMA WA WANAFUNZI KIPINDI CHA MVUA -
MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa shule na madereva wa
mabasi yanayotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wajiridhishe kuhusu njia
wanazopi...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment