KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
Makamu wa Pili wa Rais Z'bar Atoa Wito wa Kuulinda Muungano
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla ametoa wito kwa
wananchi wa Tanzania kuendelea kuulinda Muungano.
Hayo ameyasema leo Aprili,19...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment