KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI
-
Naibu Katibu Mkuu wa Usimamizi wa Uchumi, Wizara ya Fedha Bw. Elijah
Mwamdumbya na Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Masuala ya Kodi Kimataifa wa
Wizara ya...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment