KAKA
Leo tar 22 April ni birthday ya mshikaji hapo juu ambaye alizaliwa tar kama ya leo mwaka 1982,star huyu anakipiga kwenye klabu ya Real Madrid ya Hispania na pia timu ya taifa ya Brazil,jezi anayoivaa ni no 8.So kama unasheherekea birthday yako leo basi unashea birthday na superstar huyu wa soka.Blog ya burudani inawatakia wale wote wanasherehekea birthday zao leo Happy birthday.
TAMWA ZANZIBAR YAPIGANIA UPATIKANAJI WA UHURU WA HABARI NA KUJIELEZA KATIKA
JAMII
-
WAANDISHI wa habari wametakiwa kupaza sauti zao kuwatetea wananchi kupitia
vyombo vya habari kwa maslahi ya kukuza uhuru wa habari na uhuru wa
kujie...
1 comments:
Happy birthday Kaka!!
Post a Comment