J-MARTINS
Ijumaa hii nitakuwa na albam ya mchizi huyu kutoka pande za Nigeria ambaye hivi sasa yuko kwenye ardhi ya J.K akipiga tour yakutosha tu,albam inaitwa "Elevated".Usikose kupitia blog hii ya burudani ili kujua zaidi......au vipi!!!!
PPRA, ZPPDA Zasaini Makubaliano Kuenzi Miaka 60 ya Muungano
-
Na Mwandishi Wetu
Wakati kesho Tanzania ikisherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na
Zanzibar, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na M...
0 comments:
Post a Comment