J-MARTINS
Ijumaa hii nitakuwa na albam ya mchizi huyu kutoka pande za Nigeria ambaye hivi sasa yuko kwenye ardhi ya J.K akipiga tour yakutosha tu,albam inaitwa "Elevated".Usikose kupitia blog hii ya burudani ili kujua zaidi......au vipi!!!!
MERIDIAN YAING’ARISHA MAKONGO
-
KAMPUNI bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imeing’arisha
kata ya Makongo jijini Dar-es-salaam baada ya kufika kwenye eneo hilo...
0 comments:
Post a Comment