J-MARTINS
Ijumaa hii nitakuwa na albam ya mchizi huyu kutoka pande za Nigeria ambaye hivi sasa yuko kwenye ardhi ya J.K akipiga tour yakutosha tu,albam inaitwa "Elevated".Usikose kupitia blog hii ya burudani ili kujua zaidi......au vipi!!!!
MASHABIKI WA SIMBA WAPATA AJALI MMOJA AFARIKI
-
*Na Victor Masangu,Vigwaza*
Mtu mmoja ambaye ni shabiki wa Klabu ya Simba anahofiwa kufariki dunia
katika ajali ya gari aina ya coaster iliyokuwa ime...
0 comments:
Post a Comment