BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Thursday, April 1, 2010

IJUMAA KUU NJEMA!!!!

Nawatakia Ijumaa Kuu njema,japo ni weekend lakini chondechonde wadau,tusiende kwenye starehe,ijumaa kuu ni siku ambayo tunaadhimisha mateso na kusurubiwa kwa Bwana wetu Yesu Kristo kwahiyo ni siku ya huzuni na kutokula nyama,hivyo basi ni vizuri kama ukitulia nyumbani na kutafakari kwa umakini tukio hilo zima na ukumbuke kuwa yote hayo yametokana na dhambi zetu sote mimi na wewe,alisurubiwa ili mimi na wewe TUPATE KUOKOKA.

1 comments:

Fita Lutonja said...

Nimefurahikujua kuwa uko ndani ya wanablogu aswnte sana bila shaka tumeachana siku nyingi sana pale Royal College of Tanzania