Kesho ni ijumaa fans wangu,so kama unafuatilia vizuri blog yetu ya burudani kama kawa kama dawa ile segment yetu ya "makengeza" itaendelea,nitakuwa na akina nani ambao mimi nahisi wanafanana??Don't ever miss it.
Miaka kumi ya mabadiliko ya kimfumo katika usimamizi na uthibiti wa taka
nchini Tanzania
-
Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri Duniani, tunajivunia kuadhimisha
miaka 10 ya mabadiliko ya kimfumo katika usimamizi na uthibiti wa taka
nchi...
0 comments:
Post a Comment