Kesho ni ijumaa fans wangu,so kama unafuatilia vizuri blog yetu ya burudani kama kawa kama dawa ile segment yetu ya "makengeza" itaendelea,nitakuwa na akina nani ambao mimi nahisi wanafanana??Don't ever miss it.
LENGO LA SERIKALI NI KUBORESHA MAISHA YA KILA MWANANCHI TARAFA YA
NGORONGORO-NCAA
-
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina
lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo kwa kuwaelimisha na
ku...
0 comments:
Post a Comment