Kesho ni ijumaa fans wangu,so kama unafuatilia vizuri blog yetu ya burudani kama kawa kama dawa ile segment yetu ya "makengeza" itaendelea,nitakuwa na akina nani ambao mimi nahisi wanafanana??Don't ever miss it.
CHELSEA KUZIMA NDOTO ZA ARSENAL LEO?
-
KINACHOSUBIRIWA kwa hamu kubwa usiku wa leo ni je klabu ya Chelsea itaweza
kuzima ndoto za klabu ya Arsenal kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza
ms...
0 comments:
Post a Comment