Kesho ni ijumaa fans wangu,so kama unafuatilia vizuri blog yetu ya burudani kama kawa kama dawa ile segment yetu ya "makengeza" itaendelea,nitakuwa na akina nani ambao mimi nahisi wanafanana??Don't ever miss it.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Imeahidi Kukabiliana na Hali ya Ugumu wa
Maisha
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Familia ya Mzee Daudi Suleiman Ali, alipofika nyumbani ...
0 comments:
Post a Comment