Poleni kwa bata ndefu wadau na fans wangu wote wa blog ya burudani,kiukweli ndugu zangu Pasaka kwangu ilikuwa njema sana,na namshukuru MUNGU kwa Pasaka njema,naamini kwako pia ilikuwa njema,Pasaka kwakweli wadau mimi binafsi sikupata nafasi ya kutoka kwenda popote zaidi ya ibada tatu nilizopata nafasi ya kuhudhuria,nilipata nafasi ya kuhudhuria ibada ya Pasaka jumamosi ya mkesha wa Pasaka usiku kwenye Kanisa Katoliki Dayosisi ya Manzese Uzuri,nikashuhudia igizo maalum la pasaka,kiukweli niliienjoy sana,jumapili pia nikahudhuria ibada ya pili palepale kanisani,baada ya ibada nikatulia nyumbani nikicheki muvi za hapa na pale mpaka siku ikaisha,jumatatu ya jana nilihudhuria pia ibada ya pili palepale kanisani kwetu Manzese na baada ya hapo nikajongea zangu kazini kama kawa,so pasaka ilikuwa kama hivyo,hebu nawe pia nijuze unambie pasaka yako ilikuwaje???ukishindwa kucomment nicheki katika bizzo4shizzo@ymail.com
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI PWANI LAWAFUNDA WANANCHI JUU YA KUJIKINGA NA
MAFURIKO NA MAAFA
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Pwani Katika kukabiliana na majanga
mbali mbali yakiwemo ya moto na mafuriko ya mvua i...
0 comments:
Post a Comment