Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
WAWEKEZAJI WA CHINA, UWT WAJADILI KUHUSU NISHATI SAFI
-
Na MWANDISHI WETU
WAWEKEZAJI kutoka China wamekutana na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na
kujadiliana kuhusu uwekezaji hususan katika uzalishaji wa...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment