Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
AJALI YAUWA MASHABIKI WAWILI WA SIMBA KAMANDA AZUNGUMZA
-
* VICTOR MASANGU/PWANI * WATU wawili wamepoteza maisha na wengine watatu
kujeruhiwa vibaya baada ya gari dogo la abiria aina ya Costa kupata ajali
kwa k...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment