Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
ELIMU YA MLIPA KODI ILIVYOMUOKOA MIKONONI MWA MATAPELI
-
MFANYABIASHARA Marik Ngutti wa Machimbo ya Matabi wilayani Chato Mkoa wa
Geita ameeleza namna ambavyo ufuatiliaji wake wa elimu ya mlipa kodi
ilivyomna...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment