Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
MATUKIO; ASKARI WAWILI WAJERUHIWA AJALI YA MOTO MLANDIZI
-
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv
ASKARI wawili wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji wamejeruhiwa wakiwa katika
harakati za kuokoa marehemu waliokuwa wamenasia kwe...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment