Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
Makamu wa Rais Dkt. Mpango Amewaagiza UCSAF Kuendelea Kusimamia Ujenzi wa
Minara ya Mawasiliano
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Mfuko wa
Mawasili...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment