Justine Timberlake
Robin Thickel
Wadau kuna mtu aliniambia kuwa anawafananisha sana hawa jamaa,kwa sura,wanavyovaa na kuimba pia.Ikabidi niingie kazini kulichunguza hili,duh nikaja gundua kuwa kuna ukweli ndani yake,Justine Timberlake na Robin Thickle ni kama brothers hivi?(sina maana ya ndugu).Sasa hebu nawe tuambie basi unawaonaje?ni kweli wanashabihiana au macho yetu tu,labda wengine tuna makengeza teh!teh!teh!teh!
Profesa Malebo :Tanzania, imeendelea kuimarisha juhudi za kulinda haki za
binadamu kwa raia wake
-
*Nchi imeruhusu uhuru wa kujieleza pamoja na
kukusanyika kwa uhuru
Mwandishi Wetu Maalum ,Marekani
Nchi ya Tanzania umetoa ujumbe wake Kwa Umoja wa Matai...
1 comments:
Labda wamefanana pua!!
Post a Comment