Leo tar 5 May ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Craig David, alizaliwa tar kama ya leo 1981 nchini Uingereza.Craig David kiukweli mi nampenda sana japo ana muda mrefu kama yuko kimya hivi,so kama unazaliwa leo basi fahamu kuwa unashea birthday na brotherman huyu.Happy birthday mtu mzima Craig David.
Benki ya NMB yatwaa Tuzo ya NBAA kwa mwaka mwingine mfululizo.
-
*BENKI ya NMB imetwaa tuzo maalum kutoka Bodi ya Taifa ya Uhasibu na
Ukaguzi wa Hesabu(NBAA) kama Benki bora ya Taarifa za Kifedha
zilizokaguliwa na kutamb...
0 comments:
Post a Comment