Leo tar 5 May ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Craig David, alizaliwa tar kama ya leo 1981 nchini Uingereza.Craig David kiukweli mi nampenda sana japo ana muda mrefu kama yuko kimya hivi,so kama unazaliwa leo basi fahamu kuwa unashea birthday na brotherman huyu.Happy birthday mtu mzima Craig David.
ROMBO MPYA YA KUWEKEZA KWENYE ELIMU - DC MWANGALA
-
Na Mwandishi wetu, Rombo
MKUU wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangala amewataka
wakazi wa eneo hilo kuwekeza kwenye elimu kwani matai...
0 comments:
Post a Comment