Leo tar 5 May ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Craig David, alizaliwa tar kama ya leo 1981 nchini Uingereza.Craig David kiukweli mi nampenda sana japo ana muda mrefu kama yuko kimya hivi,so kama unazaliwa leo basi fahamu kuwa unashea birthday na brotherman huyu.Happy birthday mtu mzima Craig David.
DTB, ARISE Kuimarisha Mafunzo ya TEHAMA Kwa Wanafunzi
-
Afisa wa Elimu ya Watu Wazima Manispaa ya Kinondoni Explancer Siame
akishukuru msaada kutoka Benki ya DTB.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trus...
0 comments:
Post a Comment