Baada ya wiki iliyopita kumtembelea KING wa wote katika R&B huko mbele mtu mzima R-Kelly,na tukaichambua na kuitazama kwa pamoja albam yake ya sasa "UNTITLED", leo tunaweka usawa wa kijinsia kwa kumcheki mdada anaitwa KATRINA LAVERNE TAYLOR aka TRINA na mzigo wake unaotisha unaitwa "AMAZIN".Mwanadada huyu alizaliwa Dec 3 mwaka 1978 na sasa amekuwa nominated katika tunzo za BET katika category ya "The Best Female Hiphop Artist" 2010.Kihistoria Trina anatoka MIAMI Florida United States na amekulia katika maisha ya tabu sana,kimuziki alianza kusikika katika collabo na Tricky Daddy ngoma iliitwa "Nann Nigga" mwaka 1998,baadae akasaini Slip-N-Slide Records akaachia mzigo wake wa kwanza mwaka 2000 kwa jina "Da Baddest B***ch",baadae akaanza kuachia albams mwaka hadi mwaka kama "Diamond Princess"(2002),"No Patients"(2004),"Glamorest life"(2005),"Here We go Again"(2006) and "Still the Baddest"(2008).
TOGABE MILLS, KISHINDO CHA MAMA WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
RUFIJI
-
WANACHAMA wa Kishindo cha Mama kwa kushirikiana na TOGABE Mills watoa
Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.
Wametoa misaada m...
0 comments:
Post a Comment