BLOGGER TEMPLATES AND TWITTER BACKGROUNDS

.......

.

Tuesday, May 25, 2010

NAS NA DAMIAN MARLEY WATUMIA KISWAHILI KTK "AS WE ENTER"..

DISTANCE RELATIVES(ALBUM COVER)

Mdau mambo vp??leo nakuja na hii,jana usiku wakati niko home nimejipumzisha baada ya pilikapilika za kutwa nzima nikawa nacheki 106&PACK Show(no 1 music countdown show) ya BET,nikapata bahati ya kumwona Nas Escoba na Damian Marley wakiitangaza albam yao ya pamoja "Distance Relatives" ambayo inaingia sokoni leo kwa soko la USA pekee kabla haijatoka nje zaidi,wakazungumza mengi ambayo nitakujuza siku ingine but kilichonishtua zaidi ni pale ilipochezwa video kwa mara ya kwanza ya wimbo wao mpya "As we enter" na katika wimbo huo mimi kusikia maneno kadha ya kiswahili fasaha kabisa,katika verse ya pili kama sikosei kuna sehemu Nas anamwambia Damian Marley "habari gani" na Damian Marley anajibu "muzuri sana",duh,wakati wasanii wetu wanapata wazo la kuanza kuchanganya kiingereza ili kwenda kimataifa,watu walio kimataifa wanaanza kuchanganya kiswahili ili kukitanua zaidi.Kazi kwelikweli.

0 comments: