"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
AIRTEL TANZANIA YANG’ARA HUDUMA BORA ZA MTANDAO-TCRA
-
AIRTEL TANZANIA imeibuka kinara wa kutoa huduma bora za mtandao kufuatia
ripoti ya Takwimu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoishia
Machi 2024...
0 comments:
Post a Comment