"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
DKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA WB KANDA YA AFRIKA
-
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akitoa wito kwa
taasisi za fedha za kimataifa kuongeza fedha kwaajili ya kuzisaidia nchi za
kipa...
0 comments:
Post a Comment