"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
DAS MAGOGWA AWANYOOSHEA KIDOLE WANANCHI WANAOKATA MITI KIHOLELA, BADALA
YAKE WAPANDE MITI
-
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Machi 28
KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa
wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela ...
0 comments:
Post a Comment