"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
UNAKOSAJE PESA IJUMAA YA LEO NA MERIDIANBET?
-
IKIWA wikendi inaanza leo hii hapo baadae ligi mbalimbali zinatarajiwa
kupigwa kuanzia kule Ujerumani mpaka Italia huku meridianbet wakikupa
nafasi kub...
0 comments:
Post a Comment