"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
Prof. Ndunguru: Vyuo vikuu vina jukumu kubwa la kuwa injini ya ubunifu na
ugunduzi
-
NA EMMANUEL MBATILO
VYUO Vikuu vina jukumu kubwa la kuwa injini ya ubunifu na ugunduzi kwani ni
kitovu cha uzalishaji wa maarifa, ambapo tafiti bora za m...
0 comments:
Post a Comment