"Ile naamka tu baba ananitumia sms..ati leo ni birthday ya huyu jamaa..anaitwa Hamisi Mandi aka B-12 aka B-Dozen na aka zingine kibao tu,eti ba'mdogo unafikisha miaka mingapi leo eti?kwa niaba ya mshua pamoja na fans wote wa MNM nakutakia maisha marefu na yenye fanaka tele wewe na yeyote mwingine aliyezaliwa tar kama ya leo..Happy Birthday B-12"..
TFS WACHANGIA MIL.20 KWA WENYE MAAFA KIBITI NARUFIJI
-
Na Khadija Kalili ,Michuzi Tv
MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge leo amepokea hundi yenye
thamani ya Mil.20 kutoka Wakala wa Misitu Tanzania...
0 comments:
Post a Comment