420 BLAZE IT KASINO YENYE DROO 10 ZA USHINDI MERIDIANBET
-
JE, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa
unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya
Mtandaoni ku...
Monday, August 23, 2010
GELLY WA RHYMES NDANI YA CHANNEL O...
Mshkaji ni kutoka lebel ya USWAZI inayomilikiwa na the no one music video director Adam Juma...anaitwa Gelly wa Rhymes...ulianza kumsoma vzr baada ya kuwa "video king" ktk video ya J.I "kidato kimoja"...sasa Gelly anatoka zaidi baada ya video ya wimbo wake "mzuri" kuwa nominated kwenye Awards za Channel O 2010 ktk category ya video bora toka East Africa...Witness pia amekuwa nominated na "Att please" na Shaa na "Zamu Yangu "...hii ni baada ya Lady Jay Dee, Witness na wengineo ambao wameshabahatika kupata tunzo hizo...endelea kupita hapa MNM ili kufahamu zaidi namna ya ku-vote ili mchizi ajichukulie mzigo huo si ndio???
Posted by RENATUS KILUVIA at 6:27 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment