MSIFANYE KAMPENI KINYEMELA KABLA YA MUDA WAKE -KATIBU CCM KIBAHA MJI
-
*NA VICTOR MASANGU,KIBAHA *
Katibu wa Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha mjini Issack Kalleiya
amekemea vikali tabia ya baadhi ya wanachama kua...
Wednesday, August 18, 2010
HAPPY BIERTHDAY TUNDAMAN..
Miaka kadha imepita tangu ulione jua..tar kama ya leo miaka ya themanini alizaliwa mchizi hapo juu...anaitwa Tundaman toka Tanga....na muziki anaofanyia pale TipTop Connection pande za Manzese hapa jiji la Lukuvi....so kama umezaliwa leo fan wangu jua unashea birthday na jamaa huyu..Happy Birthday TundaMan..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:39 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment