RFO PWANI-TUMEFANIKIWA KUOKOA WANANCHI 2397 MAFURIKO YA RUFIJI NA KIBITI
-
NA VICTOR MASANGU,PWANI
Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Pwani Mrakibu mwandamizi
Jenifa Shirima amesema kwamba hadi kufikia leo Apr...
Wednesday, August 18, 2010
HAPPY BIERTHDAY TUNDAMAN..
Miaka kadha imepita tangu ulione jua..tar kama ya leo miaka ya themanini alizaliwa mchizi hapo juu...anaitwa Tundaman toka Tanga....na muziki anaofanyia pale TipTop Connection pande za Manzese hapa jiji la Lukuvi....so kama umezaliwa leo fan wangu jua unashea birthday na jamaa huyu..Happy Birthday TundaMan..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:39 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment