MWENGE WA UHURU KUINGIA MKOA WA PWANI APRILI 29
-
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge akizungumza na Waandishi wa
Habari Ofisini kwake leo Aprili 25, 2024 hawapo pichani.
Na Khadija Kalil...
Wednesday, August 18, 2010
HAPPY BIERTHDAY TUNDAMAN..
Miaka kadha imepita tangu ulione jua..tar kama ya leo miaka ya themanini alizaliwa mchizi hapo juu...anaitwa Tundaman toka Tanga....na muziki anaofanyia pale TipTop Connection pande za Manzese hapa jiji la Lukuvi....so kama umezaliwa leo fan wangu jua unashea birthday na jamaa huyu..Happy Birthday TundaMan..
Posted by RENATUS KILUVIA at 4:39 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment